AsanteSanaAnza bure

Watoa huduma

Wote unaowahitaji kwa siku yako

Kumbi, MC, wapambaji, chakula, mziki, usafirishaji na wengine. Ona kazi zao, bei na siku walizo wazi — kisha omba kupitia AsanteSana, malipo yakiwa salama hadi siku ya huduma.

Wewe ni mtoa huduma?

Jisajili bure — weka picha, bei na kazi zako ili wateja wakuone hapa na wakuombe moja kwa moja. Ulishawekwa na organizer kwenye tukio? Dai profile yako.

Jisajili bure