WATOA HUDUMA
Jisajili kama mtoa huduma
Ukumbi, MC, mapambo, chakula, mziki, usafirishaji na wengine. Weka kazi zako na bei, kisha wateja wakuombe moja kwa moja. Malipo yanapita AsanteSana — jukwaa linabaki na 10% tu.
Baada ya kujisajili utaweka picha, maelezo na kazi zako. Admin atapitia kisha profile yako itaonekana kwenye orodha ya umma.
Organizer alishakuweka kwenye tukio lake? Dai profile yako badala ya kuanza upya. Una akaunti tayari? Ingia. Unatafuta mtoa huduma badala yake? Ona orodha.