AsanteSanaAnza bure

ZANA YA BURE

Kikokotoo cha bajeti ya tukio

Idadi ya wageni ndiyo inayoamua karibu kila gharama — chakula, vinywaji, viti, kadi. Badilisha namba moja hapa chini uone bajeti nzima ikihama, kisha upakue kwa Excel.

Wageni wangapi?

Ndio kigezo kikubwa kuliko vyote. Badilisha namba hii uone bajeti nzima ikihama.

Gharama zako

Namba hizi ni makadirio ya soko la Dar es Salaam. Zibadilishe zilingane na bei ulizopewa.

ChakulaKwa kila mgeniTZS 3,750,000
VinywajiKwa kila mgeniTZS 1,200,000
Keki na vitafunioKwa kila mgeniTZS 450,000
Viti, meza na mapamboKwa kila mgeniTZS 900,000
UkumbiGharama ya jumlaTZS 1,500,000
Mavazi na uremboGharama ya jumlaTZS 1,200,000
Picha na videoGharama ya jumlaTZS 900,000
Muziki na MCGharama ya jumlaTZS 700,000
UsafiriGharama ya jumlaTZS 500,000
MengineyoAkiba ya dharuraTZS 400,000
Kadi za AsanteSanaKadi 10 za kwanza bure, kisha TZS 2,500 kila mojaTZS 350,000
Jumla kuuTZS 11,850,000

Takriban TZS 79,000 kwa kila mgeni

Kadi za karatasi si lazima ziwe kwenye bajeti hii

Kadi za kuchapisha huanzia TZS 3,000 kila moja, pamoja na gharama ya kuzisambaza kwa mkono. Kwa wageni 150, hiyo ni takriban TZS 450,000 — dhidi ya TZS 350,000 kwa kadi za AsanteSana, ambazo pia zinabeba RSVP, meza na QR ya kuingia mlangoni.

Jaribu na kadi 10 za bure
Kikokotoo cha bajeti ya harusi na matukio | AsanteSana